Ok niliwah kufanya hii biashara...niliacha kwakua msimamizi aliniibia.
Ni biashara nzuri kama utakua na gari lako la kubeba mzigo na kama utakua na machine ya kusaga plastic..mnunuzi machina,ukipeleka mzigo unalipwa hapohapo
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app