Muongo hana biashara

ladysha

Senior Member
Joined
May 29, 2013
Posts
156
Reaction score
28
Asikudanganye ukakiona umepata,kila kitu kanunuliwa na mwanamke hata hicho kitanda uchokilalia,siku ukiachana nae hata wewe atakudharau hana fadhila huyo,hivi inakuaje mpaka analika marafiki wKutukane kisa nini mwanaume wewe?
 
Hivi unadhani sisi ni some sort of robots or geeks kwamba tuta-crack down the behind story ya hicho ulichoandika?
 
sasa naona mmekuja na style ya kuwasuta mabwana zenu mtandaoni
haya huyo mwanamke anayedanganywa id yake ni nani?na huyo mwanaume ni nani?
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…