Muonekano Wa Ndani Mwa Studio

Muonekano Wa Ndani Mwa Studio

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Habarini za muda huu wanajamvi?

Napenda kuuliza, hivi ni studio gani ya radio station (chumba cha kurushia matangazo) hapa Tanzania yenye mwonekano mzuri wa kuvutia na nafasi ya kutosha kwa ndani?
 
Back
Top Bottom