Muonekano wa Madam Spika

Kama hajapiga kitu cha braa hivi...nido full kujiachia
 
Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa

Naaam! Swadaktaa.

Wakiwa huku vichochoroni wanawaita waislamu MAGAIDI!

Maji yakifika shingoni wanaenda kujipendekeza kwa Magaidi hao hao.
Na hijabu kuuubwa na nguo ndeefu km mke wa Shehe wa Bakwata!

Hatari sana.
 
jamaa anakisu kiunoni anajihami na bi kiroboto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…