THE COMMISSIONER
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 267
- 111
Ndio maana huwa naipenda CDM,wakati wao wanapiga porojo mitandaoni sisi tunajenga chama tu!
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.
Ni kweli kabisa kamanda molemo...ubarikiwe sana na bwana Yesu.
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.
Chadema na yesu damu damuNi kweli kabisa kamanda molemo...ubarikiwe sana na bwana Yesu.
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghaiHuku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.
Declare interest...jina halisi la deogratius sio munishi ni mbowe...kama kusoma hujui hata picha huoni?Baada ya kufanya ziara ndefu ya ujenzi wa chama na Baraza la Vijana mikoani kwa takribani wiki tatu, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi leo ataunguruma jimboni Ukonga - Kitunda ambako licha ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara atafanya ufunguzi wa matawi kadhaa ya chama na pia kupokea mabalozi 13 wa nyumba kumi kumi kutoka CCM.
Karibuni wote
anaitwa deogratius aikaeli mbowe hili la munishi ni kuwapoteza wananchi. Angalia hata sura ni mbowe hivyo hivyo ispokuwa deo ni mwupe,freeman ni mweusi......hatudanganyiki
Chadema na yesu damu damu
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai