Munishauri kwa matokeo haya ya o'level 2008

Munishauri kwa matokeo haya ya o'level 2008

buhanda

Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
77
Reaction score
30
Civ B history C English D kisw B Geo C bios C chemistry B mathematics C physics sikufanya ilikuwa division II 18.
Je naweza chaguliwa kusoma(Co) clinical officer nikiapply nacte?
Naomba kusikia kutoka kwenu wadau
 
Duuuu sijui sana mkuu! Jaribu bahati yako! Lkn kwa kidogo nachojua ni kuwa masomo ya physics yana matter sana kwenye taaluma za afya!
Bios n chemistry si unaziona hapo mbn 2010 nilipata chuo direct chuon ila mpunga ukazingua sikuenda sasa nmepiga debe nimeunyaka mpunga
 
Back
Top Bottom