Mungu wa kwetu sote.

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
8,495
Reaction score
19,867
Mungu hakupi wala hakunyimi vyote, na yeye ndio mpangaji nani ampe nini , nani amnyime nini,


Wapo walionyimwa mwili na shape na kupewa akili, wapo pia waliopewa mwili shape na kunyimwa akili.



Tujifunze kushukuru kwa kila kitu kutoka kwake.
 


Sasa yupi ni yupi? Yupi aliyepewa shepu na yupi aliyenyimwa?
 
Huu ni uchokozi wa wazi..huyo wa chini ni yule aliyedaiwa eti alipoteaga?
 
Sijui mimi ndio nina marienge.
Unaweza kuwa na tako kubwa sana alafu huna akili hata zile pesa unadanga unashindwa kuzalisha.

Unaongea ukweli sana tatizo lako, ebu stop it bhasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…