B Buru guja Member Joined Jun 27, 2018 Posts 86 Reaction score 131 Jun 27, 2019 #1 Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya.
Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya.
Official Tz App Member Joined Jul 4, 2018 Posts 20 Reaction score 10 Jun 27, 2019 #2 Daa mungu tusaidie kesho tuweze kunywa hata maji
Lagrange JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 2,438 Reaction score 2,868 Jun 27, 2019 #3 Mambo yawe biye kesho tunywe supu.
B Buru guja Member Joined Jun 27, 2018 Posts 86 Reaction score 131 Jun 27, 2019 Thread starter #4 Kweli kabisa ndugu maana, Tanzania ndio nchi yetu Official Tz App said: Daa mungu tusaidie kesho tuweze kunywa hata maji Click to expand...
Kweli kabisa ndugu maana, Tanzania ndio nchi yetu Official Tz App said: Daa mungu tusaidie kesho tuweze kunywa hata maji Click to expand...
B Buru guja Member Joined Jun 27, 2018 Posts 86 Reaction score 131 Jun 28, 2019 Thread starter #6 Hivyo ndio inavyotakiwa kujipa furaha na kushangilia timu yetu ya Taifa inapofanga vizuri. mbarika said: Ok View attachment 1140567 Click to expand...
Hivyo ndio inavyotakiwa kujipa furaha na kushangilia timu yetu ya Taifa inapofanga vizuri. mbarika said: Ok View attachment 1140567 Click to expand...
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Jun 28, 2019 #7 Lazima tuishangilie kwa kweli
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Jun 28, 2019 #8 Buru guja said: Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya. Click to expand... Mnapenda sana maombi na kuombewa kumbe ni waovu tu
Buru guja said: Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya. Click to expand... Mnapenda sana maombi na kuombewa kumbe ni waovu tu
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,298 Jun 28, 2019 #9 Buru guja said: Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya. Click to expand... Bora usingemuhusisha Mungu labda tungeshinda maana umemkumbusha mbali sana.
Buru guja said: Kwa Uzalendo na Umoja unaofanywa na Wachezaji wetu wa Tanzania Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, Tuwafunge wa Kenya. Click to expand... Bora usingemuhusisha Mungu labda tungeshinda maana umemkumbusha mbali sana.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,298 Jun 28, 2019 #10 kichomiz said: Lazima tuishangilie kwa kweli Click to expand... Ni kweli mkuu hapa kushangilia lazima pamoja na kunyukwa 3
kichomiz said: Lazima tuishangilie kwa kweli Click to expand... Ni kweli mkuu hapa kushangilia lazima pamoja na kunyukwa 3