I idrisa uwesu Member Joined May 13, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Oct 6, 2018 #1 Tukutane kwa mchina leo African lyon kipigo cha mbwa koko leooo
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,711 Oct 6, 2018 #2 Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku
Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku
I idrisa uwesu Member Joined May 13, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Oct 6, 2018 Thread starter #3 papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fc
papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fc
Geranimo E K I A JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,254 Reaction score 5,392 Oct 6, 2018 #4 idrisa uwesu said: Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fc Click to expand... Mkuu bila kupepesa macho huyo ni kuogelea fc [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
idrisa uwesu said: Hahahah bila shaka weweee utakuwa gongowazi fc Click to expand... Mkuu bila kupepesa macho huyo ni kuogelea fc [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Lutandagula JF-Expert Member Joined Apr 8, 2018 Posts 1,757 Reaction score 2,155 Oct 6, 2018 #5 papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Lini,saa ngapi,wapi,na huyo mganga ni Nani,mwisho ulikuwepo?
papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Lini,saa ngapi,wapi,na huyo mganga ni Nani,mwisho ulikuwepo?
Magangad JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 837 Reaction score 356 Oct 6, 2018 #6 simba kama kawaida tunachapa mtu zake 4
George johnson Senior Member Joined Oct 3, 2017 Posts 107 Reaction score 82 Oct 6, 2018 #7 Wacha hyo simba Wa kuchora Leo apigweeeeee
Prince of Persia Member Joined Jul 17, 2018 Posts 50 Reaction score 43 Oct 6, 2018 #8 Tujuzeni mambo yanaendaje kiwanjani
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,491 Reaction score 27,627 Oct 6, 2018 #9 simba wa kibongo(nyau) anapigwa ama. droo inamuhusu ama kupigwa 1
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,732 Reaction score 4,050 Oct 6, 2018 #10 papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Watu mliozoea uchawi mawazo yenu yapo kiganga ganga tu[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
papason said: Kwanza hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, ndiyo maana linakumbwa na majanga kila siku Click to expand... Watu mliozoea uchawi mawazo yenu yapo kiganga ganga tu[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]