Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,061
Mimi ni Mchagga ambaye bado nafanya mila zote. Kuanzia kuchinja na hata kutambika.
Na pia ni mkristu mkatoliki. Nakiri imani yangu kila jumapili. Naamini katika utatu mtakatifu. Yaani Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Wachagga tuna MUNGU Wetu. Anaitwa RUWA. au RUWA MANGI kwa maana ya MUNGU MKUU.
Kwa mujibu wa wazee wetu wa zamani wachagga walikuwa wakimwomba Mungu wakati wa shida tu. Na nyingi ya shida/tatizo walilokuwa wakiomba walikuwa wanapata tena kwa wakati Kwa mfano kulikuwa hamna haja ya kwenda kumwomba Mungu kama kila kitu kilikuwa kinakwenda sawa. Mazao yanapatikana, mifugo inazaliana, mvua zinanyesha na magonjwa hamna.
Ikitokea kwa mfano kijana wa miaka kati ya 18-40 akafa basi ilikuwa lazima kijiji au hata kata nzima baada ya kumaliza kuzika ilibidi wakae wazee na kwenda kwa RUA kumwomba aepushe jambo hilo lisitokee tena. Nawalikuwa wakitoa sadaka haswa mbuzi aliyenono au hata ng'ombe dume aliyenona kisawasawa.
Kwa wakati huo vifo vingi vilikuwa ni kwa wazee na watoto wadogo. Mtoto alikuwa akishafikisha miaka 5 ilikuwa ndio nitolee. Kama
Sasa baada ya kuja dini za kutoka magharibi na uarabuni wakatuletea vitu vya ajabu. Kwamba tukeshe tukiomba. Unaomba nini wakati huna shida? Una familia ina afya njema. Mali kibao, biashara inayofanya vizuri. Je una haja ya kwenda kuomba? Unaenda kanisani/msikitini kuomba nini? Upele ujikune?
MUNGU HUOMBWA WAKATI GANI?