Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,257
- 23,039
Wapi kuna tusi?Huwezi kutoa hoja bila kutukana?
Shida una mfuniko wa shingo badala ya kichwaKuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO.
Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni wepesi na weupe sana.
Utamsikia anasema tu "THIBITISHA KUWA MUNGU YUPO" Hana hoja nyingine ya mashiko. Zaidi ya hii ambayo ipo miaka na miaka na wala si ya kifalsafa. Kisayansi kuna gragitational force. Nani anaiona zaidi ya kuona matokeo yake?
Kuna upepo ambao hatuuoni lakini nani anaweza sema haupo? Ni upumbavu tu kuwa na hoja nyepesi kuwa THIBITISHA KAMA MUNGU YUPO.
Mimi najisikia njaa. Wewe ukiniambia nithibitishe kama nasikia njaa kwa kukuonesha utaionaje? Au nikisema najisikia kufanya tendo la ndoa nahitaji mtu awe kama mke wangu utasema nikuthibitishie nina hiyo hamu, je upo tayari kuchukua nafasi ya mtu anayepaswa kuwa mke wangu?
Huwa naona kuna watu wanadandia tu hoja na kutaka wawe na Identity flani humu ndani wakiwa hata uelewa nazo hawana. Mtu anaandika unamwona tu huyu mbona mweupe sana kichwani hajui hata anachoongea kadandia hoja. Hajui kujenga hoja. Hana jipya.
Wewe mwenyewe mweupe huna hoja ya maana kabisa. Kwahiyo mtu asipouona upepo ndio uthibitisho wa Mungu? yaani umeshindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu hadi unakuja na vioja badala ya hoja🤣🤣🤣🤣🤣. Hata tunaoamini Mungu yupo tunakushangaa. Kajipange bana unatuaibisha.Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO.
Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni wepesi na weupe sana.
Utamsikia anasema tu "THIBITISHA KUWA MUNGU YUPO" Hana hoja nyingine ya mashiko. Zaidi ya hii ambayo ipo miaka na miaka na wala si ya kifalsafa. Kisayansi kuna gragitational force. Nani anaiona zaidi ya kuona matokeo yake?
Kuna upepo ambao hatuuoni lakini nani anaweza sema haupo? Ni upumbavu tu kuwa na hoja nyepesi kuwa THIBITISHA KAMA MUNGU YUPO.
Mimi najisikia njaa. Wewe ukiniambia nithibitishe kama nasikia njaa kwa kukuonesha utaionaje? Au nikisema najisikia kufanya tendo la ndoa nahitaji mtu awe kama mke wangu utasema nikuthibitishie nina hiyo hamu, je upo tayari kuchukua nafasi ya mtu anayepaswa kuwa mke wangu?
Huwa naona kuna watu wanadandia tu hoja na kutaka wawe na Identity flani humu ndani wakiwa hata uelewa nazo hawana. Mtu anaandika unamwona tu huyu mbona mweupe sana kichwani hajui hata anachoongea kadandia hoja. Hajui kujenga hoja. Hana jipya.
Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO.

Sahihi kabisaUkisikia mtu anasema Mungu hayupo usimdharau, msikilize hoja zake na umjibu, acha kuleta hoja za hasira. Hata kwenye Biblia pameandikwa, "WAPUMBAVU HUSEMA HAKUNA MUNGU" Kwa hiyo habari ya kusema hakuna Mungu ipo toka hata Yesu hajazaliwa. Jibu hoja acha hasira za kipumbavu.
Kuna watu huwa wanataka kujipambanua kuwa ni waumini wa dhana hii ya MUNGU HAYUPO. Lakini kinachosikitisha upeo wao mdogo sana. Yaani waliamua kudandia hoja ambayo hawana uwezo nayo. Kifalsafa ni wepesi na weupe sana.
Bangi za kuvutia kwenye tundu la choo cha shimo ni mbaya. Maana hata hujijui unaandika nini.😁Shida una mfuniko wa shingo badala ya kichwa
Kama mimi nina mtu uliye naye ana njaa na wewe hujui kama yeye ana njaa
Kama mtu anakupenda na wewe huwezi kuthibitisha
Wewe una ugonjwa ila hujui ugonjwa gani, umesababishwa na parasite gani? nk
Hii inamaanisha upeo wako ni mdogo hivyo hauna uwezo wa kujadili habari za Mungu ambaye hana mwanzo wala mwisho
Wewe ni mdhaifu, kiumbe ambaye usipokunya wiki tu unalialia kwa madaktari unatafuta tiba