Mungu anataka kugundua nini kwa Binadamu?

Umevimbiwa Sasa unajambajamba tu
 
Maandiko yanasema hasababishi mabaya, ila anaruhusu yatokee. God has so much to answer siku hiyo. The pain he's inflicted to us is unbearable.
Kuna namna nyingi za kuitwa kwenda mbinguni, hao waliofariki wameitwa kwenda mbinguni, kifo ni kifo tu iwe kupigwa risasi, iwe kupewa sumu ama kulala na usiamke tena, vyote hivyo ni vifo.

Tunapaswa tuwe tayari wkt wowote maana hakuna aijuaye siku ya kufa.

Heri wafu wafao katika Bwana.
 
Mkuu naona unataka kumchunguza MUNGU kama wanasayansi,wengine eti humsaidia hadi kutoa hukumu!
 
Matendo ya Mungu si ya mwanadamu

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Kwanini anaacha tunaangamia kwa vitu ambavyo anaweza kuvizuiya..?
Vifo hivyo vimesababishwa na uzembe wa dereva (fuso).

Kwa imani ya kikristo "kuishi ni Kristo na kufa ni faida"
Kwa maana hiyo hao ndugu wametangulia mbinguni, Mungu hawezi kuzuia watu wasiende kwake
 

Kwahiyo wale wanaouliwa na silaha kule USA wanaenda mbinguni na ni Mipango ya Mungu?

Kwamba Mungu alipanga "Fulani atakuwa mwalifu halafu ataua wenzake 7 ili yeye awachukue?""

#YNWA
 
Ili kuonyesha kwa namna yeyote tutakufa na kifokipo nje ya uwezo wetu yeye tu ndo anapanga mda gani tutaondoka.

Laiti kwamba wangelitambua wasingeenda huko kwao ...Familia tunajua inapitia machungu ili kuonyesha sio hao tu hata sisi mda wowote linaweza kutukumva.

"Hakika kifo ni mawaidha tosha" tunajua kifo ni ukumbusho juu ya kurejea kwake angalau kweny msiba watu wanakuwa na mawazo kwamba wenzetu wametangulia na sisi tutafuata inawezekana hii gari nililopanda leo ndo ikawa chanzo cha kifo changu..Binadamu ni wasahaulifu daima ila kifo ni mawaidha tosha kwamba kwake tutarejea.

Hatuwezi kusema iyo familia kwamba Ina laana maana miaka 10 iliyopita walipoteza ndugu zao 4 kwa mkupua kweny ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…