Mume wangu hapendi sex

Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Kaka kazi zoote lazima uwe umesoma Chuo..hujawaona wauza maduka hujawaona madereva bajaji...hujawaona Mama ntilie ...acha uboya wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmekazana kumponda..hata mi nisingeweza kwanza mwanaume hata awe busy vipi kukaa mwez bila kuduu ni kudanganyana mi ntajua unachepuka tuu.
Wanamponda bure, wakati kila siku wanakuja na vilio vyao wanbaniwa na wake zao, huyo mmewe atakuwa na magonjwa kama magonjwa mengine, au mchepuko umemkamata sawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm binafsi sipendi saana kutiana kukaa mwez kwangu ni kawaida na nalala na mke ,siku nikijiskia ndo nafanya na nikifanya inakuwa kweli siko busy kihivyo na pia nachepuka but mara moa moja sana so sioni shida maana jamaa yuko busy but kwa mm toka awali niko hivyo na hizo hadith za romantic ndo sijuagi kabisaa
 
Utakuwa mtu wa kanda maalumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sister hitaji la mwili ni nature... Huwezi pingana na nature.... Ndoa ni ya thamani zaidi kuliko ... ... Hata mm sikushauri uipoteze kisa sex.. Tafuta boy wa kukupa sex.... But mmeo asijue.. Mbona waelewa wapo wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza mapenzi na huyo dereva tax ukiwa na umri gani? Hafu inaonekana mmeo age imesonga mbele anakaribia kuwa mzee
 
Sijakuelewa tangazo gani?
Nimesema ni tangazo kwa sababu unatushirikisha mambo yako ya siri na mwenzi wako ikiwa na wazo mbadala kwamba unahitaji kupata mwanaume mwingine atakaye kukuna kisawa sawa kusahaulisha machungu unayopitia ya kutokunwa na mmeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…