miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
To Cut the story short "amekuchoka anapikiwa na kuogeshwa na kukojoa njee hivyo Kaa chonjo asije akabaki huko huko 👻 ongeza utundu au kubali kuibiwa"habari zenu wapendwa? naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine Hali kabisa ukimuliza Hana sababu mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba, hii Hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana ka jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe Hana hata afya yani kwa kifupi ni Kama tu Hali Ila anagusagusa Kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa
FactsMmeo ana nyumba ndogo
Uzi ufungweee.Mmeo ana nyumba ndogo
Chezeaa ndoa weyeeeeMaisha ya ndoa kazi sana dadeq
Imajini anayewaziwa hali chakula cha nyumbani ni mtu mzima kabisa
Alikuwa anakula vizuri tu hii tabia imeanza tu sahiviHao wageni wanakula free meal lazima wakusifie tu hata kama kibaya. Chunguza ujue kama anakula nje ama la. Kwani huwa hamtoki OUT uone huko anakula vipi?
Kwenye sherehe mkienda ulaji wake upoje? Je wakati wa uchumba alikuwa anafurahia mapishi yako? Mbona kama vile humjui kabisa mumeo?