Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Pole binti mama ana umri gani? then nitakupa ushauri wangu
 
Pole sana mdogo wangu; simama imara katika imani yako; utavuka tu; ndio majaribu ya maisha hayo.
Nakushauri usikae kimya ukaja kufa kwa msongo wa mawazo! Face them and shame them; wakabili wote wawili uso kwa uso uyatoe ya moyoni mwako mbele yao wote wawili, lakini kwanza zungumza na watu wawili muhimu: wadhamini wa ndoa yenu
na kiongozi wako wa kiroho.
Wasipojirudi na kukuomba msamaha; nenda mahakamani; omba separation; Ondoka katika ndoa hiyo, it is a bad marriage; huwezi kuendelea kushare mume na mama yako mzazi, ni INCEST sorts ambayo kimaadili
haikubaliki.
Usife moyo, dawa ya tatizo ni kulikabili; piga moyo konde Utavuka salama na kuyajenga maisha yako upya.
Mungu akubariki.
 
Pole sana. Itisha kikao cha watu wazima wa karibu na familia zote mbili na mama yako na mume wako wawepo kisha ueleze kikao sababu ya kuwaita na kuelezea yale uliyoyaona kwenye simu ya mumeo. Ila uwe tayari kukabiliana na yatakayojiri ikiwemo kuvunjika kwa ndoa yako na kujenga uadui mkubwa sana kati yako na mama yako. Pole sana.
 
Nahisi hukusoma vyema bandiko lake?
Anyway waendelee tu kula wote manake ubinafsi ndio utakao mtesa huyu binti.
Ok ngoja nilisome tena. Lakini ushauri wako nadhani huna mtoto wa kike, labda una mama. Unavyosema wewe unatembea na mama yako mnashare na baba. Is this right to you to hear
 
hii hadithi mtu mwenye masters una uhandishi mbaya hivo khaa
Mkuu inawezekana ni panic ya kilicho mkuta... jiweke kwenye position yake, kama wewe ni Me basi mkeo awe anagegedwa na baba yako.... ili mradi umeelewa basi mpe ushauri au potezea tu mkuu...
 

asante sana
 
Mtoa Post kwa visa ambavyo nimekutana navyo, nakila sababu ya kuamini wewe ni Mchagga, mtanisamehe jamani. Mimi ni mu Arusha.... Na experience na majirani zetu. Ukikubalika na Mama mkwe au ukoo wa kichagga tena ukakuta Mama mkwe age bado bado yupo kwenye early 40's unaweza ukala mayai na chanzo chake teh teh, ukiwa kijana makini kwenye deadly balls unaeza ukatambaaa vertically/horizontally.. Yaani ukala dada au wadogo mtu wa kike... Au ukala wa baba mdogo au mama mdogo. Good enough wanaweza wakajua na kisinukishe...
Ndio uwe vizuri sasa sio unashindia mihogo na matembele teh teh....
 
pole dada yangu, hapo wote wanamakosa, nadhan mama alimchokoza mumeo. Sidhan kama kuna mwanaume anaweza muanza mama mkwe wake.
 
Pole sana. Achana na huyo mume tafute mwingine ikizingatiwa kuwa bado ni binti tena mwenye elimu. Huyo mwanaume atakuharibia maisha achana nae tafuta kinda mwenzio (miaka 27-30) mtaendana jitu zima hilo hachana nalo liendelee na mijimama. KUWA MAKINI SANA USIJE KUISHIA KWENYE MAISHA KAMA YA MAMA YAKO.
 

asante sana Bal
 

asante sana
 
Achana na mumeo. mama yako bado mdogo hawataacha hao. Kubali ndoa iishie hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…