Mume wa Victoire Ingabire ashitakiwa for genocide

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
Katika kile kinachoonekana ni jitihada za serikali ya kagame kumvunja moyo mpinzani Victoire Ingabire. Sasa mume wa Ingabire anakabiliwa na extradition kupelekwa Rwanda ili kujibu mashtaka ya 'genocide'.

Source:
blackstarnews

http://www.blackstarnews.com/global...ire-ingabire-threatened-with-deportation.html



cc:Ngongo Snipper OLESAIDIMU christine ibrahim Kishimbe wa Kishimbe iparamasa majeshi 1981 Hoshea lancanshire JustDoItNow Ndahani
 
jMali

Jamaa atawamaliza. Duh! sasa jumuia za kimataifa zinaona haya alafu zinakaa kimya. Mi naomba ajichanganye atutibue tumuingilie huko kigali. Nasikia kigali yenyewe ni kieneo kiduchu sana.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa atawamaliza. Duh! sasa jumuia za kimataifa zinaona haya alafu zinakaa kimya. Mi naomba ajichanganye atutibue tumuingilie huko kigali. Nasikia kigali yenyewe ni kieneo kiduchu sana.

Nyie siyo Watanzania mambo ya Rwanda yanatuhusu nini huku mpka tukapigane na Kagame? Tuna mengi yanatusumbua hapa yametushinda!
 
kwa ujumla eneo lake ni kama mwananyamala tu batalioni moja tunafunga mahesabu

Watanzania hawataki vita,yaani wao kushtakiana sisi tutake kupigana na Rwanda? Mawazo ya kipumbavu kabisa.Madhara ya vita vya Amin mpaka leo tunahangaika nayo! Nyinyi mmekimbia nchi yenu mnataka kutu drag kwenye ugomvi wenu kwa kujifanya Watanzania,hebu tuhangaike na katiba kanjanja basi tuachane na mambo ya nchi zingine!
 
kwa ujumla eneo lake ni kama mwananyamala tu batalioni moja tunafunga mahesabu

kama ukubwa wa eneo nikigezo cha nguvu za kijeshi....Israel isingekuwa inawasumbua...waarabu kiasi hiki....hivyo nguvu za kijeshi za nchi ni zaidi ya ukubwa au udogo wa eneo.
 
Jamaa atawamaliza. Duh! sasa jumuia za kimataifa zinaona haya alafu zinakaa kimya. .....
Inasemekana Rwanda ni kama Isreal ya Afrika...Mimi sina shida kama anafanya haya kwa ajiri ya Waafrika wote wa Rwanda, lakini kama anafanya haya kwa ajiri ya ubinafsi hapo apigwe vita.
 
kama ukubwa wa eneo nikigezo cha nguvu za kijeshi....Israel isingekuwa inawasumbua...waarabu kiasi hiki....hivyo nguvu za kijeshi za nchi ni zaidi ya ukubwa au udogo wa eneo.
Acha ujinga yaani unafananisha Israel na Rwanda!? kwa kipi Rwanda inaweza fanana na Israel!? ndio huwa mnajidanganya kwa kujifananisha hivyo!?
 
Inasemekana Rwanda ni kama Isreal ya Afrika...Mimi sina shida kama anafanya haya kwa ajiri ya Waafrika wote wa Rwanda, lakini kama anafanya haya kwa ajiri ya ubinafsi hapo apigwe vita.
kwani na Israel kuna makabila yanayochukiana yenyewe kwa yenyewe!? Danganyaneni mjifanye waisrael mtapigika na hamtoamini, eti mnajifananisha
na Israel, Rwanda wana nini cha ajabu!?
 
Jamaa atawamaliza. Duh! sasa jumuia za kimataifa zinaona haya alafu zinakaa kimya. Mi naomba ajichanganye atutibue tumuingilie huko kigali. Nasikia kigali yenyewe ni kieneo kiduchu sana.

Mkoa wa Kagera ni mkubwa karibu mara 2 ya Rwanda
 
Nyie siyo Watanzania mambo ya Rwanda yanatuhusu nini huku mpka tukapigane na Kagame? Tuna mengi yanatusumbua hapa yametushinda!

Hahah mkuu pokea like laki 1,hakuna "mtz" hapo,jamaa ni full kujipendekeza kwa wabongo,Hahah!!
 
Jamaa atawamaliza. Duh! sasa jumuia za kimataifa zinaona haya alafu zinakaa kimya. Mi naomba ajichanganye atutibue tumuingilie huko kigali. Nasikia kigali yenyewe ni kieneo kiduchu sana.
acheni sheria ifuate mkondo wake,unafikiri hao wazungu wanaweza toa mtu bila ushahidi? wanakua wameisha fanya utafiti,kwa hiyo acheni hizo chuki zisizo kua na msingi.
 
acheni sheria ifuate mkondo wake,unafikiri hao wazungu wanaweza toa mtu bila ushahidi? wanakua wameisha fanya utafiti,kwa hiyo acheni hizo chuki zisizo kua na msingi.

wazungu pia (waingereza) walisimamisha misaada Rwanda wakisema kagame ndio m23, wamarekani hivyo hivyo! Je unakubali kuwa pia walikuwa na ushahidi?
 
Acha ujinga yaani unafananisha Israel na Rwanda!? kwa kipi Rwanda inaweza fanana na Israel!? ndio huwa mnajidanganya kwa kujifananisha hivyo!?
Msingi wa post yangu uliyoinukuu ulilenga kuonyesha kuwa ukubwa wa eneo la nchi si kigezo pekee cha kuonyesha uimara kijeshi ....mifano ni mingi tu, angalia Jeshi la DRC nakadhalika. Na kwa kudhibitisha kuwa Rwanda inafananafanana na Israel ebu angali ukubwa wa maeneo yao kama yalivyonukuliwa hapa chini kutoka wikipedia.
Wikipedia said:
Israel's area is approximately 27,000 km[SUP]2 [/SUP]
Wikipedia said:
quoted from Geography of Israel - Wikipedia, the free encyclopedia and At 26,338 square kilometres (10,169 sq mi), Rwanda is the world's 149th-largest country quoted from Geography of Rwanda - Wikipedia, the free encyclopedia

Ingawa Rwanda siyo imara kama Israel kwani Rwanda haina silaha za kinyukila kama Israel(Israel haijawai kukanusha ama kukubali kama inazo). Bado Israel pamoja na udogo wake inawasumbua majirani zake. Hivyo si vyema kuidharau nchi kisa udogo wa eneo.
 
kwani na Israel kuna makabila yanayochukiana yenyewe kwa yenyewe!? Danganyaneni mjifanye waisrael mtapigika na hamtoamini, eti mnajifananisha
na Israel, Rwanda wana nini cha ajabu!?

Kwa taarifa zilizopo ni kuwa Israel huwa inazima migogoro ya ndani (labda na ukabila ukiwemo) kwa kuanzisha vita na majirani...jaribu kufuatilia vita yote inayopiganwa na Israel , mara nyingi huwa inatokea wakati mgogoro wa ndani ukifukuta. Nina imani haujasahau manyanyaso waliokuwa wakifanyiwa waisrael wenye asili ya Africa kabla ya mauaji ya waphalestina yaliyofanyika hivi karibuni huko Ghaza.
 

Siku zote ushindi wa vita huja nchi ikiwa na umoja .
 
Siku zote ushindi wa vita huja nchi ikiwa na umoja .

Wataalum wa "Conflict Prevention and Management" wamedokeza kuwa viongozi wa Isreal wanapoona migogoro ya ndani imezidi njia pekee ya kusahaulisha mgogoro na kuwaunganisha tena waisrael, ni kuanzisha vita na majirani. Ndiyo maana kumaliza mgogoro wa Israel na majirani za ni kutangaza kuisambaratisha Israel. Waisrael wakiwa peke yao bila mgogoro na jirani hawawezi kukaa salama....watapigana wenyewe kwa wenyewe tu.
 

Man, how??/ Hiyo mambo ya unyanyasaji mpaka sasa bado yapo. Haihusiani na ule ugomvi uliogharimu damu nyingi za watu wa sio na hatia.
 
Nyie siyo Watanzania mambo ya Rwanda yanatuhusu nini huku mpka tukapigane na Kagame? Tuna mengi yanatusumbua hapa yametushinda!

Mkuu kajembe, hawa jamaa kitu nilichokiona wanatumia sanamedia na social network kama hizi kuficha maovu yao. Sisi watanzania huwa tunajifanya kama kupuuza. Sasa ukiangalia baada ya baadhi ya watu wachache humu kufatilia issue zao na kuweka hadharani jamaa wanaumbuka. Chukulia mfano bila jMali kuleta hiyo habari ya mume wa igabile kutaka kushitakiwa tungejuaje?
Dalili ya mvua ni mawingu. Kagame lishamtamkia mheshimiwa rais kuwa ata mhit, we unajuaje kama yameisha? au kuna watu wake wangapi wamo humu ndani ya nchi wanafanya kazi zake? katuma watu kuua maadui zake mpaka south Africa....LOL
Na jinsi humu wanyarwanda(watusi) wanavyoona sasa ni kama eti Tanzania inawasaidia wahutu. Kwahiyo tayari kuna bifu chini kwa chini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…