Dah unauliza swali wakati kafikia uamuzi wa kuja humu? sasa unauliza nini tena? Ndio. Anadhani huku ni safi kabisa!Unadhani humu Jf ni sehem sahihi ya kumpata huyo unayemhitaji?
Asante mpendwa,lkn waliomo humu ndio hao hao waliopo huko mtaani.Unadhani humu Jf ni sehem sahihi ya kumpata huyo unayemhitaji?
Hahahah mi nahitaji mume,sio danga!Pole sana mpendwa! Njoo dsm kuna madanga kibao. Shy huko unapoteza muda tu!
Asante kwa angalizo.Angalia watakuja wengi sana, jiandae kuwafanyia usaili, maana mmmhh!!
Hi guys, poleni na majukumu.
Baada ya kuumizwa kwa muda mrefu na mapenzi niliamua kupumzika lkn sasa naona ni muda mwafaka wa mm Kuwa na mahusiano yanaeleweka ikibidi yafikie hatua ya ndoa.
Mm ni mwanamke WA miaka 28,Niko na mtoto mmoja lkn kwa bahati mbaya mzazi mwenzangu alishatangulia mbele ya haki. Mi mkristo na niko shinyanga. Ni mwajiriwa.
Nahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo.
Umri miaka 32 mpaka 40.
Kabila lolote ila awe mkristo.
Awe na mapenzi ya kweli kwasababu mm niko serious.
Awe na kipato halali na awe na akili ya maisha ya kupenda maendeleo.
Kwa yeyote atakaekuwa interested, karibu pm tuanze kufahamiana.
NB: Sihitaji kejeli wala matusi.
Unadhani Kuna maeneo maalum yaliotengwa kwa ajili ya kupata mume au mke???Unadhani humu Jf ni sehem sahihi ya kumpata huyo unayemhitaji?
Asante ndugu kwa kunisaidia kujibu.Unadhani Kuna maeneo maalum yaliotengwa kwa ajili ya kupata mume au mke???
Mama watu km hawa wasikujatishe tamaa kabisa hawa ndio wanaokataa mabadiko ya Kiteknolojia hata kwenye Dini.Asante ndugu kwa kunisaidia kujibu.
Asante kwa angalizoIla sidhani km utapata mume hapa me nashaur bora angalia ktk wafanyakaz wenzio au mtaani kwako. Maana kuna msemo usemao "zimwi likujualo halikuli likakwisha" Sasa hawa vijana wa online wanamtihani kweli utajikuta unalia kuliko kilio cha mwanzo.
Naamini aliepangwa kwaajili yangu twaweza kutana popote.Mama watu km hawa wasikujatishe tamaa kabisa hawa ndio wanaokataa mabadiko ya Kiteknolojia hata kwenye Dini.
Mahusiano ya Social Media kwa sasa ni kitu ambacho hakiepukiki kwa sasa ni sawa na kukataa bidhaa zinazouzwa online Market, kwa hiyo utakonaa uende kariakoo ukaburuzane na watu wakti waweza nunua bidhaa online ikakufuata ulipo.
Hata maandiko hayakusema kama tafuteni mume au mke ktk maeneo fulani.
Haha... hayo mabusu wanayapeleka wapi mkuuKama upo siliaz ww njoo pm.
Wengine wanakuaga wanaume wanataka mabusu ya sms.
Acha hayo mambo thatsit. Siku ukiweka Tangazo unitag kabisaaIla sidhani km utapata mume hapa me nashaur bora angalia ktk wafanyakaz wenzio au mtaani kwako. Maana kuna msemo usemao "zimwi likujualo halikuli likakwisha" Sasa hawa vijana wa online wanamtihani kweli utajikuta unalia kuliko kilio cha mwanzo.