Mume wa mtu ni sumu!

Duh! Pole zake dada wa watu! Usikute wala hakujua kama anatembea na mume wa mtu masikini!

hiyo ndio shida masikini...anabahati huo wembe umepita mara moja, wanaume muwe mnatoa taarifa basi ili mtu ajipange kwa mashambulizi
 
hiyo ndio shida masikini...anabahati huo wembe umepita mara moja, wanaume muwe mnatoa taarifa basi ili mtu ajipange kwa mashambulizi
Sio wanaume tu wanaotakiwa kutoa taarifa hata nyie kina mama mnatakiwa vile vile kutoa taarifa ya marital status zenu ili kumsaidia kutoa uamuzi sahihi wa kuanzisha mahusiano. Lakini kama unamfahamu huyu ni mke/mme wa mtu njia sahihi na salama ya kuepukana na mambo kama haya ni kuachana kabisa na wake/waume za watu. POLE LAKINI BINTI KWA YALIYOKUPA
 
Kula mume au mke wa mtu, ruksa! Ila jifiche kabisaaaaaaaaa!
 
huyo jamaa yake,kidumu chake,buzi lake kwa nini hakumgombelezea?kweli unakubali mwenzio anachanwa hivyo unaangalia? sisi wanaume lazima tujue kuwa usalama wa wenzetu tulio nao ni juu yetu 100% at any cost.Kwa kweli huyo jamaa namlaumu sana,anapenda raha tu yatokanayo hana habari.
 
Kula mume au mke wa mtu, ruksa! Ila jifiche kabisaaaaaaaaa!

mmh! hata akijificha iko siku yatajulikana wazi. jamani ogopeni kuingilia ndoa za watu, sasa mnaona? wamama/wadada wengi wamekuwa wachokozi sana sana kwa waume za watu. na hizi simu ndo zimeharibu kabisa! lakini kumbukeni kuwa mwisho wa mapenzi ya simu unakaribia pale simu zote zitakapokuwa zimeandikishwa. wengi mtaumbuka! kwanza hamuoni taabu kuwa ktk mapenzi ya kuiba maana lazima muda wote ujifichefiche, presha za nini? tujitahidi kubaki na wenza wetu. mtaiba mara ngapi na wazuri wanazaliwa kila siku?

pole mwizi(dada). haya ukipona nenda kaendelee na mchezo wako mchafu.
 
Duuuh iih sio mchezo lkn na nyie wkina dada mmezidi tabia za ajabu mmeyaona yaliyomkuta mwenzenu,,,,,,,,,,,,,,,,,mjifunze sasa kabla na wee mwenye tabia kama ihii ayajakukuta
 
si ndio hapo sasa jamani,ila wengin wanajua wanasema tutabanana humuhumu!
ooh binti mzuri kapata mikovu maskini!

Cheusi naona umekat amzizi wa fitina umeamua kutuwekea kidole that you are booked..

Nusuru wapwazz mwaya wasije wakakatwa mapanga
 
Kula mume au mke wa mtu, ruksa! Ila jifiche kabisaaaaaaaaa!
...akili ya kujificha hutoweka pale utamu unapokolea.mtu anadhani ni mali zake anaanza kujiachia na balaa ndio huanzia hapo.
 
huyo jamaa yake,kidumu chake,buzi lake kwa nini hakumgombelezea?kweli unakubali mwenzio anachanwa hivyo unaangalia? sisi wanaume lazima tujue kuwa usalama wa wenzetu tulio nao ni juu yetu 100% at any cost.Kwa kweli huyo jamaa namlaumu sana,anapenda raha tu yatokanayo hana habari.
lol mapenzi ni kikohozi mkuu...

simu zote zitakapokuwa zimeandikishwa.
mkuu simu kuandikishwa haisaidii kitu...watu wanamega tu....

Kweli kama alivyosema Geoff wewe KIMEO.Kimeeeo kimeo.
where? how? when? why?

Hizo ndio niguse nikuchane chane na kiwembe!!
ouch!

...akili ya kujificha hutoweka pale utamu unapokolea.mtu anadhani ni mali zake anaanza kujiachia na balaa ndio huanzia hapo.
mmmmmh...matokeo yake ndo hayo!
 
Back
Top Bottom