nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
msimlaumu huyu dada,na huyo mwanamume jee,ambae anajua anaelewana na mke wake pamoja na mtoto wake.inaonyesha ni mtu mzima kabisa,ila amekosa heshima.bi dada mrekodi,likija kubumbuluka,wewe ndio utaonekana mbaya
mtu hata akung'ang'anie vipi, wewe una maamuzi ya kukataa, kwani umeshikiwa bunduki?
namba yako alipataje? heshima gani unayozungumzia unayo juu ya mkewe na mtoto wake ambaye ni rika lako ilhali una entertain mawasiliano ya kimapenzi na huyo mwanaume???? usikute mmeshadungunyuana na sasa unataka ujione wewe ndiyo unapendwa...
wewe hutaki kuwa na mume wako pia familia yako??? hebu usiendekeze kuingilia ndoa za watu, wana raha na matatizo yao na hayakuhusu kabisa..
Eti heshima, heshima my foot!!
Hatumlaumu Kisukari ila tunampa ushauri kuwa yeye hapo ndio mwenye hasara (Rejea uzi wa mzizi mkavu). Hakuna atakacho gain whether mwenye makosa ni yeye au hilo libaba. Mfano anapoteza chance za kupata right partner kwa kukubali kugandwa na hilo libaba whether walisha du au la...maana unategemea jamii inayowaona close itakubali story za kuwa bado wako kwenye process. Kwa kifupi hicho ni kiwingu na kuchafua CV. Huyo mwanaume ana CV gani ya kuchafua? kama mke anaye...maisha kamaliza...Yeye bishosti?
Vile vile haina maana kumlaumu mwanaume pia kwa kuwa siyo aliyeomba ushauri. Na hatujuhi kwa umri alonao hata kama anajua kuna kitu kinaitwa JF. Lol.
BJ uko mama?sijakuona muda mrefu mama!
mwambie atafute mwanamke wa kumzalia mtoto kwa mkataba
inanikumbusha thread ya Majjid, ya kutongozwa-Jitathimin mwenyewe, umejiweka kimtego mtego mwenyewe mpaka BABA yakoanataka umzalie. Kazi ni kwako, sina cha kukushauriHujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.
Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!
Nipo kamanda..majukumu mengi, si unaona maisha haya yanayobana aisee!! vp wewe?
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,
huo ndo utakuwa ukweli wenyewe!achana na mume wa mtu,ni sumu kali!ili mtu akutongoze,wewe umejenga mazingira ya kumruhusu akutongoze,nina hakika ungekuwa rafiki mkubwa wa mwanae na kumheshimu mkewe kama unavyodai,ungejiheshimu kwa huyo mwanaume na asingekutaka.Mpaka akwambie umzalie mtoto inawezekana mmeshaonjana tayari kanogewa na anataka umzalie mtoto.Kwa ninavyojua mwanaume hawezi kukutaka siku ya kwanza na kuanza na neno la umzalie mtoto kabla hajakuonja.
Halafu nimeshaona tabia za kina dada wengi,Rafiki yake akimtambulisha kwa boydriend wake basi huyo dada huanza kutafuta jinsi ya kumpata huyo boyfriend wa rafiki yake siku akikutana na boyfriend wa rafiki yake akiomba mchezo anapewa kiurahisi sijui ni kwa nini inakuwa hivyo.huo ndo utakuwa ukweli wenyewe!achana na mume wa mtu,ni sumu kali!ili mtu akutongoze,wewe umejenga mazingira ya kumruhusu akutongoze,nina hakika ungekuwa rafiki mkubwa wa mwanae na kumheshimu mkewe kama unavyodai,ungejiheshimu kwa huyo mwanaume na asingekutaka.
Haiwezekani.Basi inawezekana wewe ulianza kujenga naye mazoea mabaya au ulipomwona anakuzoea nawe ukamzoea ukampa hiyo nafasi mpaka mkafikia hapo mlipo.Wanaume wengi ni wajanja sana ukiwapa nafasi kukuzoea tu wakikuomba mchezo lazima utakubali siku moja maana wanawake mna huruma sana kwenye hayo mambo,labda uwe mtu uliyeshika dini yako vizuri sana.hajawahi kunigusa kimwili..
Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
owkeyyyyyy! Sasa fanya hiviiiiii
Mwambie hutaki kuwa na mahusiano naye na uache kuwasiliana naye. Mtahadhalishe kuwa kama akiendelea utamweleza mkewe na utamuonyesha hizo msg. Mambo yakizidi mweleze mkewe kwa nia njema ili kusaidia kuilinda ndoa yake.
Hivi wewe Happiness win unawajua wanaume au unawasikia yaani kawaida ya mwanaume kuwaka tamaa kwa mwanamke yeyote anayekutana naye hata rafiki wa dada yake, rafiki wa mama yake, rafiki wa mkewe na wengine wasio ndugu ni jambo la kawaida. Tena wakati mwingine anaweza kuja rafiki wa mke wake nyumbani kuwatembelea na baada ya kuaga ameondoka, mwanaume anaweza kujifanya anaenda kukutana na rafiki yake kumbe anaenda kumfuatilia rafiki wa mkewe na kumtaka kimapenzi. Tunachotofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine ni kiwango cha kudhibiti tamaa. Mwingine tamaa ikiwaka tu anataka kuitimiza kama ilivyokuja mwingine anasema hapa huyu ni fulani namheshimu na kukataa kuburuzwa na matamanio, tofauti iko hapo basi.Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.
Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!