sikati tamaa
Member
- Sep 12, 2012
- 21
- 10
Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.
Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!
hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.
Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya kuachana sio sitaki nataka! Hakufai, sio wako! Jiheshimu, jitunze na ujilinde!
hawa waume zetu hawa?????? Job true true!
Hujawa mkweli. Haiwezekani mume wa mtu unayeheshimiana naye kama dada yako tena ni baba wa rafiki zako akung'ang'anie kiasi hicho. Eleza kwamba ulikuwa na uhusiano naye wa kimapenzi sasa wote mmenogewa na mnataka kuchonga mzinga. Usijidanganye kwamba wewe ndio utakuwa mwanamke bora sana kwa kukubali kumzalia.
Ushauri wangu achana naye mara moja kwa maana ya KUACHANA sio sitaki nataka! HAKUFAI, SIO WAKO! JIHESHIMU, JITUNZE NA UJILINDE!
Naona umegeuza wewe ndiye unamng'ang'ania mme wa mtu
Mwambie ana mmiliki na asikufuatefuate, la sivyo message zake zote utamwonesha mkewe na binti yake. Hapo atakoma tu. Hilo wala sio jambo la kukunyima raha na amani kabisa.