Yeye anaposema ana mafanikio ana mafanikio gani? Maana mafanikio ya mtu yanapimwa na mtu mwenyewe kwa kuwa ndiye anaejua alikotokea. Mfano kama mtu alikuwa anauza nyanya barabarani then akapata genge hayo ni mafanikio, ama mtu alikuwa anauza maji kwenye mkokoteni then akanunua kile kihonda cha miguu mitatu akawa anauzia maji hayo kwake ni mafanikio