kwa nn hujaolewa mpaka miaka 42?
Nakuombea upate aliye mwema
Ndo maana nimeleta hii post huna haja yakuuliza mbona bado
awe na umri gani, na pia dining yake iweje?
nimekuzidi miaka kumi na kidogo je nipange foleni?Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi.
Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa hayahitajiki
Nakuombea upate aliye mwema
Hodi tena kwa mara nyingine
wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42
ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao
mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na,
nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari anipm
ili tuweze kuwasiliana zaidi.
Please nipo serious ila naomba kejeli, maneno ya kashfa
hayahitajiki