Mume bwege

Kumsaidia mwenzie ni ubwege, akiingia mtaani kunywa matapu tapu na kurudi usiku wa manane ataambiwa hamjali mkewe na mtoto! SMDH! Kweli dunia ni tambara bovu.
 
Kumsaidia mwenzie ni ubwege, akiingia mtaani kunywa matapu tapu na kurudi usiku wa manane ataambiwa hamjali mkewe na mtoto! SMDH! Kweli dunia ni tambara bovu.
Hvi Ww umeelewa picha kwel au unakurupuka tu kuandika [emoji57] [emoji57]
 
hivi hawa wachina watarudi lini kwao!!??
Au na sisi tuwatimue kama msumbiji
 
Kila sehemu wachina wanakoweka kambi kwa ajiri ya miradi ya ujenzi wa miradi mbali mbali hapa nchini lazima tu waache sura zao kwa madada zetu vimewazalisha sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…