Mume ashuhudia mkewe akichepuka

Mtego ulikuwa ni Umsaidie hela ya kwenda kupanga chumba ila sijauona aisee[emoji846][emoji3][emoji3]
Ni kweli alikuwa anahitaji hela, mi nikampa ya kawaida tu; ila mfumaniwa ndio ameamua kubeba gharama zote, na kesho anaenda Mwanza kuanzisha makazi mapya
 
Ingekua ni mke wako anachepuka ungefurahia mbona wanawake ambao hawajaolewa wapo wengi matatizo mnajitakia halafu utakuta mijamaa mingine utasikia wake za watu ndyo wazuri kwa sababu hawana gharama cku mkifumaniwa mtajuta
Roho inauma kweli, uchungu ulinipata pale aliponiambia ya kuwa jana alichepuka, nikavuta hisia ninapokuwa naye kwenye 18; inauma sana
 
Roho inauma kweli, uchungu ulinipata pale aliponiambia ya kuwa jana alichepuka, nikavuta hisia ninapokuwa naye kwenye 18; inauma sana
Unatakiwa ufurahi kuwa mumewe kajua kuwa alikuwa ameoa Malaya na si mke. Huo ni ushindi mkubwa sana kwa mumewe, kumjua malaya si kazi rahisi, amshukuru sana mola huyo jamaa.
 

Kama Ni Mimi wewe ningeacha kutunga story za uongo
 
Maamuzi ya kuacha umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…