Bi mariam5
Member
- Feb 9, 2024
- 83
- 98
Samahani kwa usumbufu ila ningependa kujua kwanini....ASIWE MCHAGA
Jiandae kujibu maswali mengi ya kipuuzi kuhusu kipengele hicho π lakini mimi nakutakia kila la heri katika utafutaji wako! ππΏMtoto : Mmoja
Mara nyingi ni IDs mpya ndo hutafuta wenza humu!
Huwa nawaza sana kama matilaba yao ni ya dhati au la!
Sisi darasa la saba haututaki?
Njoo tuyajenge dear vigezo vyote ninavyo ila ni kibonge, mfupi na mweusi tiiii.
Tena sisi wa la saba tuna mapenzi ya kweri kweri kwa sauti ya Magu.Sisi darasa la saba haututaki?
Wanafungua Id mpya maana kwenye zile za zamani walikuwa na majivuno na ngenga nyingiMara nyingi ni IDs mpya ndo hutafuta wenza humu!
Huwa nawaza sana kama matilaba yao ni ya dhati au la!
Elimu yake: kuanzia degreeJina: Bi Mariam
Dini: Mkristo
mkuu Mbona code nyepesi ku decipherSamahani kwa usumbufu ila ningependa kujua kwanini....
Duh!