weka picha yako kamili labda naweza kuvutiwaMimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Duh kazi ipo kweli kweliEh uhandsome naamana yangu nikiwa nimefikia stegi yakuweka nguo zangu hadharani people will want to see me.
So i need a hubby who is a good looking for show up and when you sex with him you will have more emotion.
Hahahaa mnalooo
One day,yes if not today mkuuwale wanachuo tuendelee kusoma kwa bidii haya mambo si yakwetu.
Nendeni kwa wakina Mwajuma ndala ndefuKWA HIO SISI TUSIOKUA NA MVUTO HATUNA HAKI
Mimi nina mvuto ila nilipewa kwa mganga wa jadi. Sijui nitakubalika? Dua lako naomba unifanyie mkuu.Nendeni kwa wakina Mwajuma ndala ndefu
Uwe na pesa pia amesema yeye hahongiMimi nina mvuto ila nilipewa kwa mganga wa jadi. Sijui nitakubalika? Dua lako naomba unifanyie mkuu.
Nitamrekebisha hilo wazo lake. CCM wamemkaririsha kuwa hongo ni pesa tu. Mimi nataka 24/7/365 anihonge penzi tu. Mengine aniachie mimi.Uwe na pesa pia amesema yeye hahongi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wale wanachuo tuendelee kusoma kwa bidii haya mambo si yakwetu.
Njoo in boxMimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Mmh naweza kuja PM?Mbona hamjiiii?
Wamekuja ila siwaelewi
Hivi is it possible to get a man like ronaldo or actors of USA.?
BECAUSE I DID NOT SEE MY MATCH ALREADY
Sawa ila musije kulalamika kuwa tumekusa kuolewa muda mrefuNendeni kwa wakina Mwajuma ndala ndefu
Wanakuja subir uendelee na usailiMbona hamjiiii?
Wamekuja ila siwaelewi
Hivi is it possible to get a man like ronaldo or actors of USA.?
BECAUSE I DID NOT SEE MY MATCH ALREADY