Husband seeker
Senior Member
- May 6, 2018
- 125
- 76
nipigie pande jiranihaya ngoja waje..ukapate hitaji lako
na lile lako pia ujaaliweUjaliwe hitaji lako...
jiran jamn niliona id ya Dabby jr nkasema umebadili lini idnipigie pande jirani
hapana siwezi badili....huyo simjui sijakutana nayo humujiran jamn niliona id ya Dabby jr nkasema umebadili lini id
utaiona tu..miss yu sana lkn ,naona majukumu ya kulea ndoa si mchezohapana siwezi badili....huyo simjui sijakutana nayo humu
haha kua uyaone... miss you too. naona unazidi kuwa mrembo kwenye avatarutaiona tu..miss yu sana lkn ,naona majukumu ya kulea ndoa si mchezo
acha tu nazidi kunawirihaha kua uyaone... miss you too. naona unazidi kuwa mrembo kwenye avatar
Mbina msg zangu hujibu toka asbh?!Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.
Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.
Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)
But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.