Yaani toka saloon walikompamba wameshindwa kampa ushauri?????. What a shamewanawake huwa wanajiangusha wenyewe
Yeye mwenyewe mwili wake hauko sawa eti anaidai kwa wengine. Teh tehHalafu wanataka haki sawa?
Mbona wanaume hawafanyi hivoYeye mwenyewe mwili wake hauko sawa eti anaidai kwa wengine. Teh teh
hapo sasa kaaribu baada ya aruc haitapita mwaka utasikia wameachana sababu kila MTU kwenye ukumbi alitamanishwa sasa kila mtu ni kutongoza tu
Huwezi shindana na akili za kike Mkuu! Waache wavae watakavyoYaani toka saloon walikompamba wameshindwa jumps ushauri?????. What a shame