Multiple deaths reported at shooting in Munich shopping mall

Angela Merkel atavuna alichopanda, aliwakaribisha wakimbizi wengi kutoka nchi za uarabuni. Ona sasa
Eheee... Vipi mnavosikia na kuona katika news NDEGE F16 za nato na za Unco sam zikishambulia nchi za Iraq Libya Syria na Afghan" jee huko hakuna binaadamu au roho za watu?????????????????????

na bado wataisoma namaba kinyumenyume safari hii...!!!
Jay One Pokofame cosM kama to Din tu Dan !! wenyewe wasema its the mater of TIME !!!
 
Kwaiyo unataka kusema mnalipiza kisasi?
 
Natafakari jinsi Wajeruman watakavyojibu mapigo hadi roho inaenda mbio. Aysee kile ndio kizazi kikatili kuwahi kutokea ktk dunia hii. Sasa kama jamaa wamechokozwa huu ni moto wa gesi umewashwa!
Mbona unaeneza uoga mkuu?
 
Point.....
 
Its the meta of TIME............................................... San barnidaboe na ORALNDO !!
 
Ujerumani imekuwa ikipokea na kutetea wahamiaji wa Kiislam, Waislam wameiripua? Kama ni kweli basi kunguru hafugiki
Nini kilichowapeleka IRAQ,LIBYA na Afagha????????????????????????????????????????????? jibu lenu mtalipata hapo !!
 
Mkuu fatilia habari vizuri kabla ya kupost
Achana nao hao...Sasa wataanza kulia lia weeee......... kama vile hawajui walichkifanya Miaka ya nyuma!!
Bado kuna kile alicho wa tayarishia Allahu Al-jabbar al Muntqeem (ALMIGHTY GOD) ule moto uitwao "ANnaru ashadu Haraa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…