Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,288
- 10,963
Tetenasi haikuachi na mashine hiiMashine ya kisasa ya kufanyia mazoezi ya viungo inauzwa.
Kupitia mashine hii unaweza kufanya mazoezi ya aina tofauti tofauti.
Mazoezi ambayo unaweza kufanya kwa kutumia mashine hii ni mazoezi yafuatayo:
1) Mazoezi ya kujenga mikono (bicepts na triceps)
2) Mazoezi ya kujenga kifua
3) Mazoezi ya kujenga miguu
4) Mazoezi ya kutengeneza tumbo
5) Mazoezi ya kutengeneza mgongo
Kupitia mashine hii moja unaweza kufanya mazoezi yote yaliyotajwa hapo juu, mashine hii haichukui nafasi kubwa, pia ni imara sana.
View attachment 1243066View attachment 1243069
Mashine hii ina uwezo wa kusapoti hadi kilogramu 100.
Mashine hii inapatikana kwa gharama ya shilingi 450000/= za Kitanzania.
Piga simu utaletewa mashine hii mahali popote ulipo (hii ni kwa mkoa wa Dar es Salaam tu)
Kwa Mawasiliano piga:
0692288398
0716418668
Mashine ya kisasa ya kufanyia mazoezi ya viungo inauzwa.

Kwanini upate tetenasi mkongwe..?Tetenasi haikuachi na mashine hii
Umecheki videos jinsi mashine inavofanya kazi mkuu..?Nimeipenda Ila bei imechangamka sana
Hiyo ni "home made" mkongwe...Aisee. Ya kibongo bongo hii naona lkn tutafika tu.
Asante...Hongera kwa mbunifu
Yeah nimeona jamaa anatanua kifua hapo... Sina tatizo na mashine ni nzuri... Shida yangu ni mkono wangu ni mfupi kwenye beiUmecheki videos jinsi mashine inavofanya kazi mkuu..?
Milioni moja..?Nzuri sana ila milioni moja parefu sana mkuu...
Mkuu asikupe presha [emoji23] [emoji23] [emoji23], kashaelewa.Milioni moja..?
Wapi nimeandika bei ya mashine ni milioni moja mkuu..?
Jinsi ya kuitumia mashine kufanya zoezi la kujenga kifua.
View attachment 1243097
Sawa mkuu..!Umedanganya. Hili ni zoezi la kujenga mgongo. Hamna la kujenga kifua hapo. Kifua you push not pull.