Multichoice simu zenu zina matatizo

Multichoice simu zenu zina matatizo

neindiwe

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
33
Reaction score
22
Jaman naomba mnisaidie.Na hata km kuna wafanyakazi wa multichoice mtusaidie.Mm nimenunua DST nakalipia .But nilipofanya installatiom.SCREEN inaandika ur decoder na smartcard is not impaired.Nimewapigia cm toka asub wananipa steps.Bonyeza 2 kwa kiswahili na moja kwa english.Ukibonyeza wanasema tunakuunganisha na consultant wetu.But wale maconsultant wakipokea cm hamsikilizan.Basi hapo unakatwa pesa nyingi tu.Toka asub wamenikata 9000 na bado sijafanilkiwa kuongea nao.Je hii ni haki.
 
Pole avae, hanini wesizorire ibando ukagaya mpaka kio?
 
Back
Top Bottom