Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna mwana JF yeyote anayenufaika na mpango huo kwa sasa ila inawezekana waka2shirisha nyuma ya screen,lengo c kuhalalisha wizi bali ni kupunguza makali ya maisha.Najua kuna wa2 watakuwa na mtazamo hac dhidi yangu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba d**tv wana2nyonya.Ili kufanya setting unahitaji 1.SOFTWARE 2.DONGLE 3.mpeg4 STRONG DECODER 4.Ku DISHIES.Kikwazo hapa ni kupata hiyo software, wenye nazo wanabana.Kwa yeyote mwenye nayo naomba aniPM
Amesema kama unaitaka m-pm akupe nyeti. solution anayoNiliposoma nilijua umekuja na suluisho kumbe bao tatizo lipo teh teh teh
Sasa hiyo sofware ni software gani au inaitwaje? ebu tuhabarishe mtaalam labda tunayo lakini hatujui kazi yake. Au waulize hao wanaobana inaitwaje kama wanabana hata jina basi ni wasanii usiwaamini.
Amesema kama unaitaka m-pm akupe nyeti. solution anayo
Arselona said:.........wenye nazo wanabana.Kwa yeyote mwenye nayo naomba aniPM.........

Mkuu hakuna anayebana ili njia ya kupata channel za dstv ni ngumu kidogo na inakubidi uwe na decoder maaluma yenye kutumia internet kwa ajili ya update za new codes wanazobadilisha hao dstv kila mara,so unatiwa uwe na internet ya uhakika kidogo kwa kifupi ni kazi.

Amesema kama unaitaka m-pm akupe nyeti. solution anayo

Habari JF.Baada ya kupitia forums mbalimbali na kuongea na wa2 kadhaa imenishawishi kuandika thread hii.Sasa ninaweza kusema kwamba inawezekana kupata channels za dstv bure.Camini kama hakuna mwana JF yeyote anayenufaika na mpango huo kwa sasa ila inawezekana waka2shirisha nyuma ya screen,lengo c kuhalalisha wizi bali ni kupunguza makali ya maisha.Najua kuna wa2 watakuwa na mtazamo hac dhidi yangu lakini ukweli utabaki pale pale kwamba d**tv wana2nyonya.Ili kufanya setting unahitaji 1.SOFTWARE 2.DONGLE 3.mpeg4 STRONG DECODER 4.Ku DISHIES.Kikwazo hapa ni kupata hiyo software, wenye nazo wanabana.Kwa yeyote mwenye nayo naomba aniPM
Mkuu hiyo decoder mimi nimeanza kuitumia tangu nipo ughaibuni nilikuwa na mnigeria mmoja alikuwa ancheza na hizo code hadi nilipokuja nchini nilikuwa naitumia hadi leo bado naitumia kuna sehemu ya kuingia ethernet yani waya wa internet na siku hizi dstv wanachange code kwa masaa sio siku kama zamani mimi nikaona usumbufu nalipa kihalali ingawa inaumiza sana.dah hiyo ipo siku nyingi ila hardwate zake ndiyo ghali sana. Ones budget will be not less than 400000tzs teba u dont even need internet just an additional hardware. The down side is when the code is changed it might take up to 5 to 14 days to come back online with a full package. Lastly it not worth it coz u not garanteed that you will have it for the whole month free, secondly, its illigal and you cna be sued,

Mtoa mada tafuta decoder/receiver aina ya TIGER zenji zinapatikana sana, zina USB kwa ajili ya modem na pia zina Ethernet port kwa ajili ya net zitakusaidia kukamata DSTV kwa msaada wa servers utakazozi-feed kwenye downloading. Hii pia inakubali kadi za tofauti inaweza kuwa zaidi ya moja.

Upo hapo?