samanya
Member
- Feb 1, 2011
- 48
- 6
Kumekuwa na uzushi wa muda mrefu sasa kama week mbili kwenye mitandao na vijiwen hapa Arusha kuwa mkuu wetu wa mkoa anahanishwa
Magesa alipokuja Arusha halmashaur karibia zote zilikuwa zimeoza mfano Arusha manispaa ilukuwa imejaa wezi akawasambaratisha Monduli pesa zaidi ya milioni mia tatu zilikuwa zimetafunwa Karatu ufisadi mradi wa maji na viwanja vya wananchi kuuzwa kiolela
Amesimamia ujenzi wa barabara Arusha kila kona ni lami kwasasa maandamano ya chadema amefanikiwa kuyadhibiti na Arusha sasa inakalika
Kumwamisha Mulongo Arusha nikuifanya Arusha kuwa pango la wanyanganyi kama ilivyokuwa mwanzo
Propaganda hizi zinaenezwa na viongozi wa cdm kwakikao chao kilichokaa pale protea Machame wakishirikiana na wanamtandao wengine ndani ya CCM ambao wanamwona Mulongo kama kizuizi cha kwenda magogoni 2015