mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 773
- 2,587
Hata ateba hajawahi kukuelewa kabisa.kwa upande wangu sijawahi muelewa kabisa ateba
Hii hoja umetisha Sana.Simba inabidi watulie sana kwenye selection ya nani wa kubaki msimu ujao otherwise yatakuwa yale ya Baleke, Phiri kuondoka wakati mmoja
Mastriker wazuri hawapatikani kirahisi rahisi,shukuruni hatakwa hao mlio naoHii hoja umetisha Sana.
Tatizo Simba ni kujazana upepo, Mugalu ilikuwa hivi hivi kisha ikaja ya Moses Phiri na Jean Baleke.
Waamue kubaki na anayefundishika.
Ndiyo hoja yangu. Kuwa kama wanataka kuachana na yeyote basi abaki anayefundishika!Mastriker wazuri hawapatikani kirahisi rahisi,shukuruni hatakwa hao mlio nao
Hili suala tukikurupuka tu,tutajikuta pabaya kama misimu iliyopita.Ndiyo hoja yangu. Kuwa kama wanataka kuachana na yeyote basi abaki anayefundishika!
Wabaki wote till further noticeNdiyo hoja yangu. Kuwa kama wanataka kuachana na yeyote basi abaki anayefundishika!
Kabisa...Hili suala tukikurupuka tu,tutajikuta pabaya kama misimu iliyopita.
Uchawi upo. Unamuona mtu hata kukuambia hawezi amenenepa na ana kitambi, Bado unamchezezsha dakika 80, ambaye Yuko fiti unamchezezsha dakika 10. Ni mjinga tu ambaye hataamin kua huu sio uchawi.Alichofanya Jana ateba ni kile kile kitu kuwa huyu hatufai , anapoteza sana nafasi anakera