Ndg. walimu jamaa yetu yupo clouds ila mmi simwamini kabisa na hawa wakuu wake wa wilaya wawili walioteuliwa juzi kati nadhani nahitaji kujitoa kwa hiki chama. Nishaurini jaman!!
mmmh nadhani utaly amesahau kuwa anakuja kwenye wikaya yangu na mm ni mwakilishi wa cwt wilaya nitabanana nae kama nilivyokuwa nabanana naye kwenye 15% ya mahala pa kazi