Jamani huyu muigizaji kipindi cha kila alhamis cha Ze Comedy ktk kipengele cha magumashi, ile sauti anayojilazimisha inakuwa sio burudani tena, bali ni karaha.Bahati mbaya jina simjui ni yule ambaye ameigiza kama mke wa Bambo.Huwa anakuwa na Msaniu Kiwewe.Akiwa ktk vipengele vingine anaongea vizuri lakini ktk kipindi cha Magumashi anachafua mchezo