Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,478
- 23,571
Ana igiza wapi na anaigiza nini? Pole sana kwa familia yake. Anapofariki binadamu yeyote ni huzuni.
Mwigizaji Mkongwe na Maarufu nchini Tanzania, Grace Mapunda amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Aziz Ahmed ambaye ni Muongozaji wa Tamthilia ambaye alikuwa akifanya naye kazi kwa ukaribu kwa muda mrefu.
Imeelezwa kua Grace hakuumwa muda mrefu, ila alipelekwa Hospitali juzi na usiku wa kuamkia leo Novemba 2, 2024 akapoteza uhai. Msiba upo nyumbani kwake Sinza Vatcan.
Mtakuwa kizazi cha 2000s na mnaishi uswahilini. Sisi wa kale tunajua thamani ya dstv. Anyway. .mimi pamoja na kuwa wa miaka ya kale na niNA DSTV but siwajui hawa watuNimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua
Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui
RIP
View attachment 3141179
Leo utamchamba mpaka ashangae. 🤣Hiii kauli imekaaa kinafiki sana,,,, tusipangiane maisha….ishi utakavyo …..uvimbe au usinyae jua utakufa tu….tuishi vile inavyokuendeza wewe mwenyewe.🫡
RIP Tesha
Pole sana Mkuu!I can feel it mkuu. Binafsi niliwapoteza wazazi wote 2017 kwa ajali na isitoshe nimezaliwa peke yangu. No Dada No Kaka aiseee kama sikuchizika basi Sitokuja kuchizika. Mungu ni Mwema Sana Niko Ngangari Kamili Gado. Apumzike kwa Amani Tesaaa wa Huba
Ameigiza filamu nyingi mnoo kuanzia enzi za marehemu kanumba na kina mainda, johari, Yule nargis Muhammad, aliitwa tesa kwenye hubaAlikuwa anaigiza igizo gani huko mjini Dusalamu?
Wewe ndio hukuwahi kujua kama huyo mama ni maarufu maana kaanza zamani mnoo enzi za kurushwa ITV kila jmosDar Kila mtu ni maarufu
Sio Tesha ni TessaHiii kauli imekaaa kinafiki sana,,,, tusipangiane maisha….ishi utakavyo …..uvimbe au usinyae jua utakufa tu….tuishi vile inavyokuendeza wewe mwenyewe.🫡
RIP Tesha
Kweli mkuu hata Mimi nilitoka patupu bila picha hii ambayo ni halisia sasa hiyo iliyotumika nadhani ni filta ya infinix imenichanganya kabisa.Nimeangalia hii picha yake ya kitambo ndio nimemjua
Sisi wengine ni wadau wa Azam mkuu DStv hatuijui
RIP
View attachment 3141179
You sound stupid and out of context akili ndogoKwahiyo baada ya kukukataa ukamuona amevimba! Hakukupenda, ona sura lako baya!