Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,886
Wanaandika hivyo kwa sbb makinikia ni bora kuliko dhahabu na watu wanamshangiliia baba bashiteUngejazia nyama maana hapa umeandika Kimakinikia.
Ungejazia nyama maana hapa umeandika Kimakinikia.
Muda mwingine tuko kwenye maeneo ambayo huwezi pata hilo gazeti mpaka baada ya wikiKanunue gazeti mkuu.
Mwenyekiti wa Tume alialika kwa wenye maswali na maoni wawasilishe kwa Tume.
Angalia usibaki room moja na JPM,maana kila anayesema anachoamini mnamgeuka na kumshambulia!Mnapenda kusikia mnachokitaka badala ya ukweli!Mwenyekiti wa Tume alialika kwa wenye maswali na maoni wawasilishe kwa Tume.
Utaalamu hujibiwa au kupingwa na utaalamu.
Kama una swali specific kuhusu ripoti ya tume waulize.
Kwenye hili la udanganyifu wa kimapato hata mimi rafiki yangu Muhongo tutakosana
tatizo watanzania tunapenda ushabiki bila kutafakari. hili ni sawa na tulivyoshangilia samaki wa magu na baadae tukapigwa mahela mengi sana. tatizo la mitanzania mingi shida ni shule.....
Chenjua tu mkuu!!Ungejazia nyama maana hapa umeandika Kimakinikia.
Alianza Muhongo kubeza wazawa....na ccm wakafuatiaWewe nahisi ndo huna shule. Wenye shule hawalaumu, wanaonyesha njia. Ninyi mnaojifanya mna shule kwa kuwabeza wenzenu ndo hamna shule