Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,163
- 37,801
Wakuu nawasalimu sana!
Nimeingia jana New Delhi, India, nimetokea Dar es salaam, nikapitia Abu Dhabi kisha nikanyooka mpaka huku kwa Magabachori, ndio mara yangu ya kwanza kuja pande hizi!
Huku nimefikia Country Inn & Suites, kiujumla baridi kali sana, sasa hivi ni 3 na dak 06 usiku, temp inasoma 5.
Mwanajamvi kama kuna chochote unachojua kuhusu New Delhi na ungependa na mimi ninufaike nacho, please, weka wazi hapa, ntakuwepo hapa kwa muda mrefu kiasi!
Kma unajua na yale mambo yetu, sio mbaya, weka wazi!