Muhimu: MMU lady, gentleman of the year 2016

*Kwa MMU -supermarket-
*Ikifika zamu ya kupendekeza majina kwenye celebrities forum nitataja majembe mawili Hance mtanashati na Iceman 3D
 
Hapa kutakuwa na shida maana jinsia huwezi kuifahamu kwa majina feki haya
heh,.. unataka ku bother na Jinsia JF!! Hapa unaweza ukawa hata ulishamtongoza Bam'kwe wako. Na hicho ndicho kinachoifanya JF iwe special. you just play ur part right.
 
Back
Top Bottom