MUHIMU: Majina ya waliopitishwa kugombea Urais TLS

MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA NAFASI YA RAIS WA CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA. TLS. Kazi kweli kweli hapa.

1. VICTORIA MANDARI
2. FRANCIS STOLLA
3. LAU KEGO MASHA
4. GODWIN MWAPONGO
5. TUNDU LISSU


Elimu zao kuna PhD holder hata mmoja hapo? Kuongoza taasisi inayobeba jina kama hilo TLS ni lazima uwe PhD holder, kinyume na hapo ni usanii tu!
 
Back
Top Bottom