Didia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 719
- 260
Kwa takilibani Mwaka mmoja Sasa Chama cha demokrasia na maendeleo kimeonekana kupwaya sana katika kitengo chake cha propaganda huku kitengo kama hicho ndani ya CCM kikiimarika na kupata nguvu.
Inawezekana hii ikawa Sera ya CHADEMA, kutokufanya siasa chafu, lakini kaeni mtambue Africa, na Hasa Tanzania hakuna siasa za kistaarabu. Ukiitazama Aina ya jamii ya watanzania ni jamii ambayo inafuatilia na kusikiliza na probably kukubali umbea kuliko facts. Katika mazingira kama Haya Huwezi kujenga Chama kwa ku-capitalise kwenye facts peke yake. Unahitaji pia propaganda Tena propaganda ambazo zimeratibiwa.
Ukifuatilia mienendo ya Mada za propaganda za CCM zinazoletwa humu ndani utagundua kuwa zimeratibiwa. Vijana wao wanapoanzisha Mada ya kipuuzi itachangiwa kwa haraka na watu wengi katika mrengo wa kuipa nguvu. Mara nyingi watu Hao niwalewale lakini wanaongezeka kila kukicha.
Ninaweza kusema kwa Sasa CHADEMA/ukawa hawashambulii Tena Bali wanafanya kazi moja tu ya kujilinda. Hii ni dalili ya kuzidiwa na hivyo upinzani unahitaji mikakati mipya katika kupeleka mashambulizi
Pamoja na kutegemea volunteers Katika mapambano Haya CHADEMA, CUF na NCCR hawawezi kukwepa kutumia fedha Hasa kuimarisha jeshi lake la mitandaoni. Zile buku 7,7 za CCM sio za kubezwa teba zimeanza kulipa. Mabaraza ya Vijana yanapaswa kuwezeshwa kufanya mapambano Haya. Pamoja na mikakati mingine Lazima iwepo bajeti ya kujaza mbs kwa Vijana walio tayari kupambana kujibu hoja, kupotosha hoja, kubeza hoja na kuanzisha hoja.
Pamoja na kuhamasisha siasa za kujitolea CHADEMA /ukawa wawe tayari kutumia fedha za Chama kuimarisha siasa ngazi za chini. Kwa walioshiriki harakati za uchaguzi uliopita wanajua wagombea ubunge wa ukawa walifanya zaidi ya kujitoa.
Unapopambana na CCM unapambana na watu wenye fedha, Dora na mtandao mpana. Vita hii haiwezi kupiganwa tu kwenye matv na mikutano ya hadhara, vita hii sio ya dharula, ni vita ya masaa 24 kila siku iendayo kwa Mungu.
Pamoja na vikawazo vilivyopo upinzani unaweza kushinda vita hii tu kwa mikakati endelevu