MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Kuna ongezeko la kuzaliwa watoto kabla ya muda wake wa miezi 9 kwa kipindi hiki yaani watoto njiti (premature).
Taarifa toka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wodi ya Kangaroo kuwa wamepokea watoto 200 tangu January 2017 toka mikoa ya Pwani na Dar es salaam.
Ongezeko hili la Watoto njiti sababu ni nini hasa?
Na nini kifanyike ili kupunguza ongezeko la watoto njiti?