dr nganamba
Member
- Sep 27, 2016
- 34
- 6
Wewe unajua ufaulu wangu ww?,,,,,fikili kabla ya kunenaHapo sahau maana hupati ng'o
Sasa kama umepig fresh wenge la ninWewe unajua ufaulu wangu ww?,,,,,fikili kabla ya kunena
Sasa kama umepig fresh wenge la nin
Dr mawenge nakuona
Mkuu! Hata hujaanza kusoma anatomy ushajiita doctor!!Naomba jamani wakitoa majina ya waliochaguliwa muhas tuambiane ,,,,make washatujazia mastress knoumah yan,,,,kwa kweli hapa kazi tuuuu!
Mwache ajishaue huyu anadhani ma anatomy..biochemistry,ma pathology ..mchezo sifa zingine za kijinga...ukimaliza md 5 ndio atleast uanze kujiita dokta...muhas si pa mchezo mchezo..watu walienda na division 1.3 wameondoka na gpa za 2.5 achilia mbali waliodiscoMkuu! Hata hujaanza kusoma anatomy ushajiita doctor!!
Usikalili brooo,,,cyo kila anae itwa doctor anatib,,,wengine hupewa udoctor kwa heshima flan iv,,,,mfano dr jpm,,,,,dr kikwete,,,,,broo ww kinachokusumbua unakalili mno,,,,ila silaum ni takriban 89% ya watanzania wote!Mkuu! Hata hujaanza kusoma anatomy ushajiita doctor!!
Everything is pocble provided you show descipline and efort on what you want to achieve,,,,so ww unae sema muhas siyo pamchezo ndo ninyi mnakalilishwa na kuamin hvo,,,cha mcng ni kujiamin na kufanya yale yanayokuhusu,,,,,tatzo ninyivni ma gossip!Mwache ajishaue huyu anadhani ma anatomy..biochemistry,ma pathology ..mchezo sifa zingine za kijinga...ukimaliza md 5 ndio atleast uanze kujiita dokta...muhas si pa mchezo mchezo..watu walienda na division 1.3 wameondoka na gpa za 2.5 achilia mbali waliodisco
Na sasa hivi wamebadili system kidogo tu kwenu..
Eti nna karirishwa eeh...Everything is pocble provided you show descipline and efort on what you want to achieve,,,,so ww unae sema muhas siyo pamchezo ndo ninyi mnakalilishwa na kuamin hvo,,,cha mcng ni kujiamin na kufanya yale yanayokuhusu,,,,,tatzo ninyivni ma gossip!
so wewe umepewa kwa heshima ya mawenge!!...sasa nimeelewaUsikalili brooo,,,cyo kila anae itwa doctor anatib,,,wengine hupewa udoctor kwa heshima flan iv,,,,mfano dr jpm,,,,,dr kikwete,,,,,broo ww kinachokusumbua unakalili mno,,,,ila silaum ni takriban 89% ya watanzania wote!
Hahahaha Mkuu muache kijana ajifariji huwezi jua labda alikua anaota usiku na mchana aje asome MD...ila muhas yataka moyo..ukiwa mzembe unarudi home mwaka wa 1 tu...akichaguliwa hapo kijana akapige msuli tu yote yanawezekana ukitia niaMkuu! Hata hujaanza kusoma anatomy ushajiita doctor!!
Hahahaha Mkuu muache kijana ajifariji huwezi jua labda alikua anaota usiku na mchana aje asome MD...ila muhas yataka moyo..ukiwa mzembe unarudi home mwaka wa 1 tu...akichaguliwa hapo kijana akapige msuli tu yote yanawezekana ukitia nia
0404
Mwaka jana na juzi chuo kililazimishwa kuchukua intake kubwa kuliko carrying capacity ya chuombona muhas hawatoi names!!au ndo uchakachuaji unaendelea coz hawachelewagi hawa kubana nafasi za watu!
Daah,,nashukuru kwa taarifa mkuuMwaka jana na juzi chuo kililazimishwa kuchukua intake kubwa kuliko carrying capacity ya chuo
Now chuo kimerudi kwenye ubora,wanafunzi wachache,waliofaulu vizuri.. Vumilia tu mkuu first year hadi tarehe 22 mwezi ujao
JPM sio dakitari wa heshima, ameisomea na kafanya utafiti akiwa mwanafunzi wa UDSM Chemistry.Usikalili brooo,,,cyo kila anae itwa doctor anatib,,,wengine hupewa udoctor kwa heshima flan iv,,,,mfano dr jpm,,,,,dr kikwete,,,,,broo ww kinachokusumbua unakalili mno,,,,ila silaum ni takriban 89% ya watanzania wote!