MUHAS! MUHAS! MUHAS!

dr mose

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
45
Reaction score
15
Kwa watu wote mnaofuatilia selected names kwa undergraduate courses hapo muhimbili tupeane updates. Muda sio rafiki tena.

Kwa ufupi, unafahamu nini kuhusu lini selected list from tcu ya watu wa MUHAS itakuwa released?
 
Hawa majamaaa wanatafuta kickkk,,,washatuboa sana ,,,reall
 
Hawa majamaaa wanatafuta kickkk,,,washatuboa sana ,,,reall
may be bado kidogo, itakua kuna programs ambazo hazijaisha kwa mwaka wa masomo 2015/2016,,, I bet for next wk mkuu
 
next week!!you are not serious at all,,
people tumesimamisha shughuli zingine kwa kusubiri hizo selection lakini bado wanachelewesha namna hii! Too much,
 
Madogo tulizeni vipele Muhas majina yanatoka tarehe 17 October tu sio mbali wala nini cha msingi uwe umetusua
 
Km uliomba Muhas fikiria pia na kutemwa, list ya selected applicants inaweza toka but usione jina lako coz enrolment yao huwa ni ndogo sana
 
MUHAS (kipenzi chetu) is playing hard to get-LoL Subira yavuta heri.
 
Kwa watu wote mnaofuatilia selected names kwa undergraduate courses hapo muhimbili tupeane updates. Muda sio rafiki tena.

Kwa ufupi, unafahamu nini kuhusu lini selected list from tcu ya watu wa MUHAS itakuwa released?
Inabidi muwe na subira maana mwaka wa masomo 2015/16 ulichelewa kuisha.

Kwa sasa ndo kwanza senate inatarajia ikae na kupitisha matokeo ya UEs tar 13/10, baada ya hapo washughulikie supplementary...

Bt first yr wataanza kuingia mwishoni mwa October hii, then endeleeni kuwa na subira.
 
First year muhas wanafungua trh 22/10 na continuing students trh 29/10....kwahiyo kuweni wapole madogo, muhas yenu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…