S SEPHORD SAUL New Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Sep 30, 2014 #1 Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.
Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.
hery_edson Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 159 Reaction score 178 Sep 30, 2014 #2 Wanaripoti kesho
ENANTIOMER JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 1,419 Reaction score 804 Sep 30, 2014 #3 SEPHORD SAUL said: Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo. Click to expand... mpaka sasa hawatoa taarifa yoyote. Pendelea kupitia website yao!
SEPHORD SAUL said: Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo. Click to expand... mpaka sasa hawatoa taarifa yoyote. Pendelea kupitia website yao!
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Sep 30, 2014 #4 SEPHORD SAUL said: Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo. Click to expand... Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october Source:University Almanac
SEPHORD SAUL said: Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo. Click to expand... Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october Source:University Almanac
TUMBOO JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 3,827 Reaction score 2,027 Sep 30, 2014 #5 Ze Heby said: Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october Source:University Almanac Click to expand... Nimesoma kwenye gazet jana First year wanaripot 13 wengne tarh 20....
Ze Heby said: Kama hawajachange,first year wanaripoti tarehe 6 october na continuing wanaripoti tarehe 13 october Source:University Almanac Click to expand... Nimesoma kwenye gazet jana First year wanaripot 13 wengne tarh 20....
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Sep 30, 2014 #6 tumboo said: Nimesoma kwenye gazet jana First year wanaripot 13 wengne tarh 20.... Click to expand... Gazeti gani?
tumboo said: Nimesoma kwenye gazet jana First year wanaripot 13 wengne tarh 20.... Click to expand... Gazeti gani?
N Nyagos Member Joined Sep 14, 2014 Posts 15 Reaction score 0 Sep 30, 2014 #7 Bado mmeniacha njia panda cjui nishike ipi.
mchushi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 216 Reaction score 98 Sep 30, 2014 #8 kwani majina wametoa wakuu!?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Sep 30, 2014 #9 Nyagos said: Bado mmeniacha njia panda cjui nishike ipi. Click to expand... Nimeongea na Dean wa School ya Pharmacy amesema kuwa ndio kulikuwa na mipango ya kupostpone haditarehe 13 na 20 kwa first years na continuing respectively. Hivyo amesema tuwe tunapitia web mara kwa mara
Nyagos said: Bado mmeniacha njia panda cjui nishike ipi. Click to expand... Nimeongea na Dean wa School ya Pharmacy amesema kuwa ndio kulikuwa na mipango ya kupostpone haditarehe 13 na 20 kwa first years na continuing respectively. Hivyo amesema tuwe tunapitia web mara kwa mara
raji makuya Member Joined Aug 22, 2014 Posts 58 Reaction score 4 Sep 30, 2014 #10 majina yao wametoa lini. hata ya diploma siyaon.
Punnisher JF-Expert Member Joined Jul 28, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,410 Oct 1, 2014 #11 Wakuu Tuwe na subira