Mkuu si ungemjibu kwa utaratibu tuuMuhas hatuna wanafunzi wenye uandishi mbovu kama huo..ndio mana mfumo haukubali unakugomea...nenda kajifunze uandishi mzuri.
habarin jm nina shida katika account za muhimbili yaan sio moja ni wanafunzi wawili. kila nikijaribu kuingia wanasemma incorect password nmejaribu kureset pia wanasema username is not found na sio A/C moja ni mbili zote nikiwapigia awapokei.....lakini awali nkua naingia vzri issu nilibakiza kureaply now nashindwa je hi shida ni kwangu tu au tafadhali msaada?
Andika maumivuMimi nimelipa ili kureply na message za malipo nimeshapata ila kwenye account inaonyesha no payment ili niweze kuendelea....nawapigia hawapokei
Hii inchi kuna baadhi ya watu wanakwamisha mambo sana
maumivuAndika maumivu
Sure,Enzi za CAS hakukua na haya mateso.