Muhanga wa ajira

Muhanga wa ajira

Joined
Jul 22, 2016
Posts
66
Reaction score
19
Habari,

Age 21 kijana hapa natafuta kazi yoyote iwe halalii niko Dar, kiwandani, vibarua, shop, supermarket kokote kambi.

PM au 0688024623
 
sijakuelewaa kaka nimetumiaa ubabe upi hapooo?

Ushawahi kuona barua ya maombi ya kazi inaanzaje na iinamaliziaje?.. dear sir/ madam...... yours faithfully ... please.... yours sincerely. .. kijana onyesha kama kweli una shida na unahitaji kazi...kuna watu kweli kazi wanazo lkn hutoa tu kama maelezo yako yatawagusa!!!.. sasa neno kama popote kambi ilikua lina ulazima gani kulitumia kwenye maelezo yako???
 
unaweza kazi za sales.. kutafuta masoko ya huduma na bidhaa?
Kama ni ishu ya kutangaza bidhaa kwenye social network kwangu ni rahisi sana. Utafurahi mwenyewe kwa mmiminiko wa wateja
 
Kama ni ishu ya kutangaza bidhaa kwenye social network kwangu ni rahisi sana. Utafurahi mwenyewe kwa mmiminiko wa wateja

naomba link ya page ya social network unazoendesha zenye nguvu kuliko hizi za kwangu binafsi nikupe dili

Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

Photo_ studio_mabibo_hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

Dobi Kitaani - Ubungo/Vituka (@udsm_loundry_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos

Mabibo Hostel Online Tv
 
Ushawahi kuona barua ya maombi ya kazi inaanzaje na iinamaliziaje?.. dear sir/ madam...... yours faithfully ... please.... yours sincerely. .. kijana onyesha kama kweli una shida na unahitaji kazi...kuna watu kweli kazi wanazo lkn hutoa tu kama maelezo yako yatawagusa!!!.. sasa neno kama popote kambi ilikua lina ulazima gani kulitumia kwenye maelezo yako???

haya kaka nimekuelewaaa , haina shida nimechukuwa ushauri wakoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom