Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,654
Hii picha itakuwa ya kitambo maana kwa sasa ni mzee lakini mswahili huyu alitingisha ulimwengu kwa ngumi na hasa ukisoma historia yake kwenye vitabu na sijui ni bado yupo hai au kishatangulia mbele ya hakki
Yupo hai
muhhammad Ali ndio nani?
Asante na jazakhalla kwa siku ya leo ya kuzaliwa kwa mungu na maneno ya kuambiwa changanya na ya utosi fi amaan lelaha
View attachment 212285
Enzi hizo .........Muhammad Ali akiwa Madrassa akisoma baada ya 'kusilimu'
"Na tukamfanya mwana wa Mariamu (Yesu) na mama yake kuwa ni ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka, penye utulivu na chem chem za maji.
''Na kwa yakini huu Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi nicheni Mimi.
Qur'an:23: 50-52.
Hivi huyu jamaa na Tyson nani alikuwa zaidi japo walipigana enzi tofauti?
....kwamujibu wa imani yangu jamaa kaingia chaka baya sana....
Hivi huyu jamaa na Tyson nani alikuwa zaidi japo walipigana enzi tofauti?