Mugabe wins Zimbabwe election

Status
Not open for further replies.
Hongera Mugabe, maana ni wewe sasa unayeweza kutuunganisha waafrika

WaJF sasa mnaona Ritz, Yericko Nyerere , tedo na wengineo tunavyoshangilia kimoyo moyo ushindi wa Mugabe ingawa matokeo hayajatangazwa rasmi.....!
 
Viva Mugabe,

Kilio changu kimesikika, mabeberu tumewaangusha!

Zimbabwe ni ya Wazimbabwe na sio ya Wazungu!

Nilishasema Mugabe ndie kiongozi bora mwana wamapinduzi aliyesalia!

swadakta mkuu.
kwa jinsi nchi yetu inavyoendeshwa kiubabaishaji kwa sasa, mwalimu JKN angekuwa hai hadi hii leo asingekubaliana na fedheha hii na am dead certain angefanya mpango (halali au haramu) wa kurudi madarakani ili airudishe nchi mahala panapostahili!
 

Respect, huree Zim huree! Hongera Mugabe kwa ushindi huo, at least aridhi ya zim ipo salama na ushoga bado ni marufuku Zim!
 
Huwa ninashangazwa sana na watanzania wanaojiita wapenda mabadiliko na demokrasia, halafu wanawashabikia watu kama Mugabe na Museveni,
Huwa wananiacha katika lindi la mawazo.

Demokrasia tunayoitaka Afrika si ile inayofungamana na ushoga na usagaji mzee.Kama ndivyo bora ibaki
 
Ben,

Mimi pia nitampongeza maana he is my COMRADE, hata hivyo nadhani sasa it's high time kwake kung'atuka. He has made it...

Anastahili. Wakati yuko porini anapigana kutafuta uhuru wao walikuwa mbali na vifaru na risasi. Hongera Mugabe
 
Hiyo ni dalili kuwa 2015 CCM kuibuka mshindi tena na tena
 
Mugabe akishinda mungu amsaidie kuongoza vema taifa lake.
 
It's a pity; there was no chance for the people of Zimbabwe to remove this dictator once and for all. I can see opinions based on what Robert did in the 70's or 60's but not what he achieved as a president. Remember Zimbabwe economy was 25 times more than that of Kenya when they became independent in 1980, but slowly and surely the despot managed to destroy the once flourishing country into a basket case.

If you just read even SADC observers, there were almost 2 to 3 million dead people on the voter's role of 1985. (All those votes counted for Robert before any vote was cast). That's the 50% required to win based on a 6 million people eligible voters. What a pity.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…